Kichin cha Chinbon

Kichin ya Chinbon (pia Kichinbon) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar inayozungumzwa na Wachinbon. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kichin ya Chinbon imehesabiwa kuwa watu 19,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichin ya Chinbon iko katika kundi la Kisal.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy